Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na sasa, Ee BWANA, nakuelekezea macho yangu na uso wangu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Na sasa, ee Bwana, nimeelekeza macho yangu kwako, nikitumaini utanisaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Na sasa, ee Bwana, nimeelekeza macho yangu kwako, nikitumaini utanisaidia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Na sasa, Ee BWANA, nakuelekezea macho yangu na uso wangu; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Na sasa, ee Bwana, nimeelekeza macho yangu kwako, nikitumaini utanisaidia. Tazama sura |