Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Alipoyasikia hayo alifanya huzuni nyingi, akaona afadhali kujinyonga. Akafikiri, Mimi ni binti pekee wa baba yangu; basi nikitenda hivi nitamwia shutumu; nitamshushia uzee wake kwa huzuni hata kaburini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Sara aliposikia maneno hayo alihuzunika sana na kutoa machozi, akapanda ghorofani akitaka kujinyonga. Lakini alipotafakari, akasema, “La! Sitajinyonga! Watu wasije wakamdharau baba yangu na kusema, ‘Ulikuwa na mtoto mmoja tu, binti ambaye ulimpenda sana, lakini alijinyonga kwa sababu ya uchungu!’ Jambo kama hilo litasababisha kifo cha baba yangu mzee, nami nitakuwa na hatia. Sitajiua mwenyewe, hasha; nitamwomba Bwana achukue roho yangu, nisisikie tena matusi kama yale!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Sara aliposikia maneno hayo alihuzunika sana na kutoa machozi, akapanda ghorofani akitaka kujinyonga. Lakini alipotafakari, akasema, “La! Sitajinyonga! Watu wasije wakamdharau baba yangu na kusema, ‘Ulikuwa na mtoto mmoja tu, binti ambaye ulimpenda sana, lakini alijinyonga kwa sababu ya uchungu!’ Jambo kama hilo litasababisha kifo cha baba yangu mzee, nami nitakuwa na hatia. Sitajiua mwenyewe, hasha; nitamwomba Bwana achukue roho yangu, nisisikie tena matusi kama yale!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Alipoyasikia hayo alifanya huzuni nyingi, akaona afadhali kujinyonga. Akafikiri, Mimi ni binti pekee wa baba yangu; basi nikitenda hivi nitamwia shutuma; nitamshushia uzee wake kwa huzuni hata kaburini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Sara aliposikia maneno hayo alihuzunika sana na kutoa machozi, akapanda ghorofani akitaka kujinyonga. Lakini alipotafakari, akasema, “La! Sitajinyonga! Watu wasije wakamdharau baba yangu na kusema, ‘Ulikuwa na mtoto mmoja tu, binti ambaye ulimpenda sana, lakini alijinyonga kwa sababu ya uchungu!’ Jambo kama hilo litasababisha kifo cha baba yangu mzee, nami nitakuwa na hatia. Sitajiua mwenyewe, hasha; nitamwomba Bwana achukue roho yangu, nisisikie tena matusi kama yale!” Tazama sura |