Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi nilisikitika, nikalia; na katika huzuni yangu niliomba, nikasema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi mimi kwa uchungu mkubwa nilianza kusononeka na kutoa machozi, kisha nikaanza kusali kwa huzuni: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi mimi kwa uchungu mkubwa nilianza kusononeka na kutoa machozi, kisha nikaanza kusali kwa huzuni: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi nilisikitika, nikalia; na katika huzuni yangu niliomba, nikasema, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Basi mimi kwa uchungu mkubwa nilianza kusononeka na kutoa machozi, kisha nikaanza kusali kwa huzuni: Tazama sura |