Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Usiku ule ule nilirudi mazikoni, nikalala kwenye ukuta wa kiwanja changu, maana nimenajisika; na uso wangu haukufunikwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Jioni hiyo nilirudi nikaoga; kisha nikaenda kulala nje uani, kando ya ukuta. Kwa kuwa kulikuwa na joto sana sikujifunika uso. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Jioni hiyo nilirudi nikaoga; kisha nikaenda kulala nje uani, kando ya ukuta. Kwa kuwa kulikuwa na joto sana sikujifunika uso. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Usiku ule ule nilirudi mazikoni, nikalala kwenye ukuta wa kiwanja changu, maana nimenajisika; na uso wangu haukufunikwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Jioni hiyo nilirudi nikaoga; kisha nikaenda kulala nje uani, kando ya ukuta. Kwa kuwa kulikuwa na joto sana sikujifunika uso. Tazama sura |