Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Lakini jirani zangu walinidhihaki, wakasema Mtu huyu bado haogopi kuuawa kwa sababu ya tendo hilo; ingawa alikimbia; na kumbe! Anazika maiti tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini jirani zangu wakanidhihaki wakisema, “Mtazameni huyu! Haogopi tena! Safari ile alinusurika kuuawa kwa sababu ya kufanya hayohayo. Bahati yake alichopoka. Lakini sasa anarudia mambo yaleyale!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini jirani zangu wakanidhihaki wakisema, “Mtazameni huyu! Haogopi tena! Safari ile alinusurika kuuawa kwa sababu ya kufanya hayohayo. Bahati yake alichopoka. Lakini sasa anarudia mambo yaleyale!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Lakini jirani zangu walinidhihaki, wakasema Mtu huyu bado haogopi kuuawa kwa sababu ya tendo hilo; ingawa alikimbia; na kumbe! Anazika maiti tena. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Lakini jirani zangu wakanidhihaki wakisema, “Mtazameni huyu! Haogopi tena! Safari ile alinusurika kuuawa kwa sababu ya kufanya hayohayo. Bahati yake alichopoka. Lakini sasa anarudia mambo yaleyale!” Tazama sura |