Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kwa hiyo nikalia; na jua lilipokwisha kuchwa, nilikwenda nikachimba kaburi, nikamzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Jua lilipotua nilitoka nje, nikachimba kaburi na kumzika marehemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Jua lilipotua nilitoka nje, nikachimba kaburi na kumzika marehemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kwa hiyo nikalia; na jua lilipokwisha kuchwa, nilikwenda nikachimba kaburi, nikamzika. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Jua lilipotua nilitoka nje, nikachimba kaburi na kumzika marehemu. Tazama sura |