Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 huku nikiukumbuka ule unabii wa Amosi, kusema, Nitageuza sikukuu zenu kuwa maombolezo, Na nyimbo zenu zote kuwa vilio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nikakumbuka maneno ya nabii Amosi: “Sikukuu zenu zitageuka kuwa maombolezo, na nyimbo zenu kilio.” Nami sikuweza kuyazuia machozi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nikakumbuka maneno ya nabii Amosi: “Sikukuu zenu zitageuka kuwa maombolezo, na nyimbo zenu kilio.” Nami sikuweza kuyazuia machozi yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 huku nikiukumbuka ule unabii wa Amosi, kusema, Nitageuza sikukuu zenu kuwa maombolezo, Na nyimbo zenu zote kuwa vilio. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Nikakumbuka maneno ya nabii Amosi: “Sikukuu zenu zitageuka kuwa maombolezo, na nyimbo zenu kilio.” Nami sikuweza kuyazuia machozi yangu. Tazama sura |