Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Kisha nikarudi nikaoga, nikala chakula changu kwa msiba, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha nilirudi nyumbani, nikaoga, nikala chakula changu kwa majonzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha nilirudi nyumbani, nikaoga, nikala chakula changu kwa majonzi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kisha nikarudi nikaoga, nikala chakula changu kwa msiba, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Kisha nilirudi nyumbani, nikaoga, nikala chakula changu kwa majonzi. Tazama sura |