Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mara, kabla sijadiriki kuonja chakula chochote, niliondoka kwa haraka, nikaenda nikamchukua, nikampeleka katika chumba hata kuchwa kwa jua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Papo hapo, hata bila kuonja chakula changu, niliondoka kwa haraka nikamchukua huyo maiti kumficha kibandani ili nimzike saa za jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Papo hapo, hata bila kuonja chakula changu, niliondoka kwa haraka nikamchukua huyo maiti kumficha kibandani ili nimzike saa za jioni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mara, kabla sijadiriki kuonja chakula chochote, niliondoka kwa haraka, nikaenda nikamchukua, nikampeleka katika chumba hata kuchwa kwa jua. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Papo hapo, hata bila kuonja chakula changu, niliondoka kwa haraka nikamchukua huyo maiti kumficha kibandani ili nimzike saa za jioni. Tazama sura |