Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Akarudi, akasema, Baba, kuna mtu mmoja wa taifa letu amenyongwa; akatupwa sokoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, Tobia akarudi na habari hii: “Baba! Kuna mtu mmoja wa taifa letu amenyongwa, akatupwa sokoni!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, Tobia akarudi na habari hii: “Baba! Kuna mtu mmoja wa taifa letu amenyongwa, akatupwa sokoni!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akarudi, akasema, Baba, kuna mtu mmoja wa taifa letu amenyongwa; akatupwa sokoni. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Basi, Tobia akarudi na habari hii: “Baba! Kuna mtu mmoja wa taifa letu amenyongwa, akatupwa sokoni!” Tazama sura |