Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Ndipo nilipoona nyama tele, nikamwambia mwanangu, Nenda ukamlete mtu maskini yeyote utakayemwona miongoni mwa ndugu zetu amkumbukaye BWANA. Haya! Nakungojea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 nikamwambia Tobia, “Mwanangu, nenda nje ukaangalie kama kuna maskini Myahudi mwenzetu mcha Mungu, umlete hapa. Haya! Nakungojea.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 nikamwambia Tobia, “Mwanangu, nenda nje ukaangalie kama kuna maskini Myahudi mwenzetu mcha Mungu, umlete hapa. Haya! Nakungojea.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ndipo nilipoona nyama tele, nikamwambia mwanangu, Nenda ukamlete mtu maskini yeyote utakayemwona miongoni mwa ndugu zetu amkumbukaye BWANA. Haya! Nakungojea. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 nikamwambia Tobia, “Mwanangu, nenda nje ukaangalie kama kuna maskini Myahudi mwenzetu mcha Mungu, umlete hapa. Haya! Nakungojea.” Tazama sura |