Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 2:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Naye akanijibu, Aa, ni zawadi yangu niliyopewa faida zaidi ya mshahara wangu. Lakini mimi sikumsadiki; nikamwagiza awarudishie wenyewe; nikamwonea haya. Akarudisha maneno, Je! Wewe, ziko wapi basi sadaka zako na matendo yako ya haki? Tazama ati! Umefahamika wewe na kazi zako zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Ana akaniambia: “Sivyo! Huyu mwanambuzi nimepewa zawadi pamoja na mshahara wangu.” Lakini mimi sikumwamini; nikaona haya kwa kitendo hicho alichofanya. Nilimwamuru amrudishe huyo mbuzi kwa wenyewe. Ndipo aliponijibu: “Haya basi! Wewe uliwasaidia maskini au sivyo? Matendo yako yamekupatia nini? Yaliyokupata ni dhahiri!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Ana akaniambia: “Sivyo! Huyu mwanambuzi nimepewa zawadi pamoja na mshahara wangu.” Lakini mimi sikumwamini; nikaona haya kwa kitendo hicho alichofanya. Nilimwamuru amrudishe huyo mbuzi kwa wenyewe. Ndipo aliponijibu: “Haya basi! Wewe uliwasaidia maskini au sivyo? Matendo yako yamekupatia nini? Yaliyokupata ni dhahiri!”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Naye akanijibu, Aa, ni zawadi yangu niliyopewa faida zaidi ya mshahara wangu. Lakini mimi sikumsadiki; nikamwagiza awarudishie wenyewe; nikamwonea haya. Akarudisha maneno, Je! Wewe, ziko wapi basi sadaka zako na matendo yako ya haki? Tazama ati! Umefahamika wewe na kazi zako zote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

14 Ana akaniambia: “Sivyo! Huyu mwanambuzi nimepewa zawadi pamoja na mshahara wangu.” Lakini mimi sikumwamini; nikaona haya kwa kitendo hicho alichofanya. Nilimwamuru amrudishe huyo mbuzi kwa wenyewe. Ndipo aliponijibu: “Haya basi! Wewe uliwasaidia maskini au sivyo? Matendo yako yamekupatia nini? Yaliyokupata ni dhahiri!”

Tazama sura Nakili

Tobiti 2:14
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo