Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na yule mwana-mbuzi alipokuwamo nyumbani mwangu alianza kulia. Kwa hiyo nikamwuliza mke wangu, Huyu mwana-mbuzi ametoka wapi? Je! Hukumwiba? Uwarudishie wenyewe, maana si halali kula kilichoibiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ana alipowasili nyumbani, mwanambuzi huyo akaanza kulia. Mimi nikamwuliza mke wangu, “Mbuzi huyo ametoka wapi? Umemwiba sivyo? Mrudishe kwa mwenyewe! Si halali kula vitu vilivyoibiwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ana alipowasili nyumbani, mwanambuzi huyo akaanza kulia. Mimi nikamwuliza mke wangu, “Mbuzi huyo ametoka wapi? Umemwiba sivyo? Mrudishe kwa mwenyewe! Si halali kula vitu vilivyoibiwa!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Na yule mwana-mbuzi alipokuwamo nyumbani mwangu alianza kulia. Kwa hiyo nikamwuliza mke wangu, Huyu mwana-mbuzi ametoka wapi? Je! Hukumwiba? Uwarudishie wenyewe, maana si halali kula kilichoibwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Ana alipowasili nyumbani, mwanambuzi huyo akaanza kulia. Mimi nikamwuliza mke wangu, “Mbuzi huyo ametoka wapi? Umemwiba sivyo? Mrudishe kwa mwenyewe! Si halali kula vitu vilivyoibiwa!” Tazama sura |