Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Wao wakamlipa mshahara; tena wakampa na zawadi ya mwana-mbuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mara kwa mara aliwapelekea waajiri wake nguo alizotengeneza. Siku moja, baada ya kumlipa ujira wake walimzawadisha mwanambuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mara kwa mara aliwapelekea waajiri wake nguo alizotengeneza. Siku moja, baada ya kumlipa ujira wake walimzawadisha mwanambuzi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Wao wakamlipa mshahara; tena wakampa na zawadi ya mwana-mbuzi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Mara kwa mara aliwapelekea waajiri wake nguo alizotengeneza. Siku moja, baada ya kumlipa ujira wake walimzawadisha mwanambuzi. Tazama sura |