Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Basi mke wangu Ana alikuwa akifanya kazi ya kusokota vyumbani mwa wanawake, naye alipomaliza kazi huzipeleka kwao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wakati huo ikambidi mke wangu Ana kufanya kibarua: Kufuma nguo, kama wanawake wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wakati huo ikambidi mke wangu Ana kufanya kibarua: kufuma nguo, kama wanawake wengine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Basi mke wangu Ana alikuwa akifanya kazi ya kusokota vyumbani mwa wanawake, naye alipomaliza kazi huzipeleka kwao wenyewe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Wakati huo ikambidi mke wangu Ana kufanya kibarua: Kufuma nguo, kama wanawake wengine. Tazama sura |