Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wala sikujua kama wamo videge katika ukuta, na macho yangu yalikuwa wazi. Hivyo videge wakateremsha mavi ya moto ndani ya macho yangu; vikatokea vyamba vyeupe katika macho yangu. Nikaenda kwa matabibu wasiweze kunisaidia. Walakini Akiakaro alinilisha hata alipohamia Elimayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wala sikujua ya kwamba kulikuwapo mbayuwayu ukutani juu yangu. Basi wakanidondoshea machoni mavi yao yenye moto, vigamba vyeupe vikaziba macho yangu. Niliwaendea waganga mbalimbali, lakini hakuna aliyeweza kuniponya; mwisho nikawa kipofu kabisa. Kwa miaka minne sikuweza kuona chochote. Ndugu zangu walinishughulikia sana, na Ahika alinitunza kwa miaka miwili, kisha akaenda zake nchini Elamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wala sikujua ya kwamba kulikuwapo mbayuwayu ukutani juu yangu. Basi wakanidondoshea machoni mavi yao yenye moto, vigamba vyeupe vikaziba macho yangu. Niliwaendea waganga mbalimbali, lakini hakuna aliyeweza kuniponya; mwisho nikawa kipofu kabisa. Kwa miaka minne sikuweza kuona chochote. Ndugu zangu walinishughulikia sana, na Ahika alinitunza kwa miaka miwili, kisha akaenda zake nchini Elamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Wala sikujua kama wamo videge katika ukuta, na macho yangu yalikuwa wazi. Hivyo videge wakateremsha mavi ya moto ndani ya macho yangu; vikatokea vyamba vyeupe katika macho yangu. Nikaenda kwa matabibu wasiweze kunisaidia. Walakini Akiakaro alinilisha hata alipohamia Elimayo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Wala sikujua ya kwamba kulikuwapo mbayuwayu ukutani juu yangu. Basi wakanidondoshea machoni mavi yao yenye moto, vigamba vyeupe vikaziba macho yangu. Niliwaendea waganga mbalimbali, lakini hakuna aliyeweza kuniponya; mwisho nikawa kipofu kabisa. Kwa miaka minne sikuweza kuona chochote. Ndugu zangu walinishughulikia sana, na Ahika alinitunza kwa miaka miwili, kisha akaenda zake nchini Elamu. Tazama sura |