Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Hata nilipofika tena nyumbani kwangu, na kurudishiwa mke wangu Ana na mwanangu Tobia, kwenye sikukuu ya Pentekoste, iliyo siku takatifu ya majuma saba, niliandaliwa chakula kizuri, nikakaa kitako nile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi niliporejea nyumbani kwangu na kupatiwa tena mke wangu Ana na mwanangu Tobia, niliandaliwa karamu kubwa wakati wa sikukuu ya Pentekoste, iliyo sikukuu takatifu ya majuma saba. Nilipokuwa nimekaa mezani na kuona vyakula vingi mezani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi niliporejea nyumbani kwangu na kupatiwa tena mke wangu Ana na mwanangu Tobia, niliandaliwa karamu kubwa wakati wa sikukuu ya Pentekoste, iliyo sikukuu takatifu ya majuma saba. Nilipokuwa nimekaa mezani na kuona vyakula vingi mezani, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Hata nilipofika tena nyumbani kwangu, na kurudishiwa mke wangu Ana na mwanangu Tobia, kwenye sikukuu ya Pentekoste, iliyo siku takatifu ya majuma saba, niliandaliwa chakula kizuri, nikakaa kitako nile. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Basi niliporejea nyumbani kwangu na kupatiwa tena mke wangu Ana na mwanangu Tobia, niliandaliwa karamu kubwa wakati wa sikukuu ya Pentekoste, iliyo sikukuu takatifu ya majuma saba. Nilipokuwa nimekaa mezani na kuona vyakula vingi mezani, Tazama sura |