Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Sadaka huokoa na mauti, nazo zitasafishia mbali dhambi zote. Watoao sadaka na kutenda haki watajaa uzima, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Sadaka kwa maskini humwokoa mtu na kifo na kumtakasa dhambi zake zote. Wale wanaowasaidia maskini watajaliwa uhai, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Sadaka kwa maskini humwokoa mtu na kifo na kumtakasa dhambi zake zote. Wale wanaowasaidia maskini watajaliwa uhai, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Sadaka huokoa na mauti, nazo zitasafishia mbali dhambi zote. Watoao sadaka na kutenda haki watajaa uzima, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Sadaka kwa maskini humwokoa mtu na kifo na kumtakasa dhambi zake zote. Wale wanaowasaidia maskini watajaliwa uhai, Tazama sura |