Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Bora ni kusali pamoja na kufunga na kutoa sadaka za haki. Kidogo pamoja na haki ni bora kuliko wingi pasipo na haki. Yafaa kutoa sadaka kuliko kuweka akiba ya dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Afadhali sala pamoja na ukweli na kusaidia maskini pamoja na kutenda haki kuliko kuwa tajiri na kukosa uaminifu. Afadhali kusaidia maskini kuliko kulimbikiza dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Afadhali sala pamoja na ukweli na kusaidia maskini pamoja na kutenda haki kuliko kuwa tajiri na kukosa uaminifu. Afadhali kusaidia maskini kuliko kulimbikiza dhahabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Bora ni kusali pamoja na kufunga na kutoa sadaka za haki. Kidogo pamoja na haki ni bora kuliko wingi pasipo na haki. Yafaa kutoa sadaka kuliko kuweka akiba ya dhahabu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 “Afadhali sala pamoja na ukweli na kusaidia maskini pamoja na kutenda haki kuliko kuwa tajiri na kukosa uaminifu. Afadhali kusaidia maskini kuliko kulimbikiza dhahabu. Tazama sura |