Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ndipo alipochukua wote wawili kwa faragha, akawaambia, Mhimidini Mungu, na kumshukuru, na kumwadhimisha; na kumpa shukrani mbele ya wote walio hai kwa mambo yote aliyowatendeeni. Ni vema kumhimidi Mungu na kulikuza jina lake; na kuyatangaza kwa heshima matendo ya Mungu. Basi msilegee katika kumshukuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini Rafaeli akawaita faraghani Tobiti na Tobia, akawaambia, “Mtukuzeni Mungu; tangazeni sifa zake kwa watu wote kwa ajili ya fadhili alizowafanyia. Mtukuzeni na kulisifu jina lake. Watangazieni watu wote matendo ya Mungu kama ipasavyo na wala msichoke kumshukuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini Rafaeli akawaita faraghani Tobiti na Tobia, akawaambia, “Mtukuzeni Mungu; tangazeni sifa zake kwa watu wote kwa ajili ya fadhili alizowafanyia. Mtukuzeni na kulisifu jina lake. Watangazieni watu wote matendo ya Mungu kama ipasavyo na wala msichoke kumshukuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Ndipo alipochukua wote wawili kwa faragha, akawaambia, Mhimidini Mungu, na kumshukuru, na kumwadhimisha; na kumpa shukrani mbele ya wote walio hai kwa mambo yote aliyowatendeeni. Ni vema kumhimidi Mungu na kulikuza jina lake; na kuyatangaza kwa heshima matendo ya Mungu. Basi msilegee katika kumshukuru. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Lakini Rafaeli akawaita faraghani Tobiti na Tobia, akawaambia, “Mtukuzeni Mungu; tangazeni sifa zake kwa watu wote kwa ajili ya fadhili alizowafanyia. Mtukuzeni na kulisifu jina lake. Watangazieni watu wote matendo ya Mungu kama ipasavyo na wala msichoke kumshukuru. Tazama sura |