Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Basi akamwita malaika, akamwambia, Afadhali sana wewe utwae nusu ya yote mliyoleta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Tobia akamwita Rafaeli, akamwambia, “Chukua nusu ya mali yote uliyonisaidia kupata, kama mshahara wako. Nakutakia safari njema!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Tobia akamwita Rafaeli, akamwambia, “Chukua nusu ya mali yote uliyonisaidia kupata, kama mshahara wako. Nakutakia safari njema!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Basi akamwita malaika, akamwambia, Afadhali sana wewe utwae nusu ya yote mliyoleta. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Basi, Tobia akamwita Rafaeli, akamwambia, “Chukua nusu ya mali yote uliyonisaidia kupata, kama mshahara wako. Nakutakia safari njema!” Tazama sura |