Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Sasa mshukuruni Mungu; kwa kuwa mimi ninapaa kwake aliyenituma; nanyi andikeni katika kitabu mambo yote yaliyotendeka. Nao walipoondoka hawakumwona tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Basi, sasa mtukuzeni Bwana duniani na kumshukuru. Mimi narudi sasa kwake yeye aliyenituma kutoka juu. Andikeni mambo hayo yote yaliyotukia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Basi, sasa mtukuzeni Bwana duniani na kumshukuru. Mimi narudi sasa kwake yeye aliyenituma kutoka juu. Andikeni mambo hayo yote yaliyotukia.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Sasa mshukuruni Mungu; kwa kuwa mimi ninapaa kwake aliyenituma; nanyi andikeni katika kitabu mambo yote yaliyotendeka. Nao walipoondoka hawakumwona tena. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Basi, sasa mtukuzeni Bwana duniani na kumshukuru. Mimi narudi sasa kwake yeye aliyenituma kutoka juu. Andikeni mambo hayo yote yaliyotukia.” Tazama sura |