Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Basi hapo mliposali, wewe na mkweo Sara mimi niliupeleka ukumbusho wa sala zenu mbele zake Aliye Mtakatifu; na hapo ulipowazika wafu, nilikuwapo pamoja nawe vile vile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wewe na Sara mlipokuwa mnasali wakati ule, mimi ndiye niliyewasilisha sala zenu mbele ya Bwana aliye mtukufu. Na kila ulipokuwa unawazika wafu, mimi niliwasilisha matendo yako mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wewe na Sara mlipokuwa mnasali wakati ule, mimi ndiye niliyewasilisha sala zenu mbele ya Bwana aliye mtukufu. Na kila ulipokuwa unawazika wafu, mimi niliwasilisha matendo yako mbele yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Basi hapo mliposali, wewe na mkweo Sara mimi niliupeleka ukumbusho wa sala zenu mbele zake Aliye Mtakatifu; na hapo ulipowazika wafu, nilikuwapo pamoja nawe vile vile. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Wewe na Sara mlipokuwa mnasali wakati ule, mimi ndiye niliyewasilisha sala zenu mbele ya Bwana aliye mtukufu. Na kila ulipokuwa unawazika wafu, mimi niliwasilisha matendo yako mbele yake. Tazama sura |