Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 12:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 bali watendao dhambi ni adui za uhai wao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 lakini wale wanaotenda dhambi na kufanya uovu hujiletea madhara wao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 lakini wale wanaotenda dhambi na kufanya uovu hujiletea madhara wao wenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 bali watendao dhambi ni adui za uhai wao wenyewe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 lakini wale wanaotenda dhambi na kufanya uovu hujiletea madhara wao wenyewe. Tazama sura |