Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Lakini Ana alimkimbilia, akamwangukia mwanawe shingoni, akamwambia, Mwanangu! Nimekuona; tangu sasa ni radhi nife. Wakalia wote wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ana akamkimbilia mwanawe, akamkumbatia na kumwambia, “Nimekuona tena mwanangu. Sasa naweza kufa!” Akatoa machozi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ana akamkimbilia mwanawe, akamkumbatia na kumwambia, “Nimekuona tena mwanangu. Sasa naweza kufa!” Akatoa machozi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Lakini Ana alimkimbilia, akamwangukia mwanawe shingoni, akamwambia, Mwanangu! Nimekuona; tangu sasa ni radhi nife. Wakalia wote wawili. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Ana akamkimbilia mwanawe, akamkumbatia na kumwambia, “Nimekuona tena mwanangu. Sasa naweza kufa!” Akatoa machozi. Tazama sura |