Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Basi umtie mara nyongo machoni; na imchomapo atajifikicha; na vyamba vyeupe vitaambuka; atakuona kwa macho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Utaitia ile nyongo ya samaki machoni mwake, nayo dawa itanyausha vile vigamba vyeupe na baba yako ataweza kuona tena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Utaitia ile nyongo ya samaki machoni mwake, nayo dawa itanyausha vile vigamba vyeupe na baba yako ataweza kuona tena.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Basi umtie mara nyongo machoni; na imchomapo atajifikicha; na vyamba vyeupe vitabanduka; atakuona kwa macho. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Utaitia ile nyongo ya samaki machoni mwake, nayo dawa itanyausha vile vigamba vyeupe na baba yako ataweza kuona tena.” Tazama sura |