Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Rafaeli akamwambia Tobia, Najua ya kuwa baba yako atafumbua macho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kabla hawajamfikia Tobiti, Rafaeli akamwambia Tobia, “Nakuhakikishia, macho ya baba yako yatafunguliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kabla hawajamfikia Tobiti, Rafaeli akamwambia Tobia, “Nakuhakikishia, macho ya baba yako yatafunguliwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Rafaeli akamwambia Tobia, Najua ya kuwa baba yako atafumbua macho yake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Kabla hawajamfikia Tobiti, Rafaeli akamwambia Tobia, “Nakuhakikishia, macho ya baba yako yatafunguliwa. Tazama sura |