Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Akamwona mbwa akija mbio; akamwambia mumewe, Lo-o-o! Mwanao anakuja, na yule mtu aliyefuatana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ghafla akamwona anakuja! Ana akamwambia Tobiti kwa furaha, “Tazama! Mwanao anakuja! Anakuja na rafiki yake!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ghafla akamwona anakuja! Ana akamwambia Tobiti kwa furaha, “Tazama! Mwanao anakuja! Anakuja na rafiki yake!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Akamwona mbwa akija mbio; akamwambia mumewe, Lo-o-o! Mwanao anakuja, na yule mtu aliyefuatana naye. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Ghafla akamwona anakuja! Ana akamwambia Tobiti kwa furaha, “Tazama! Mwanao anakuja! Anakuja na rafiki yake!” Tazama sura |