Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Naye Ana alikuwa amekaa kuyaelekeza macho yake njiani hali akimtazamia mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wakati huo huo, Ana alikuwa amekaa anachungulia barabarani, akitazamia kumwona mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wakati huo huo, Ana alikuwa amekaa anachungulia barabarani, akitazamia kumwona mwanawe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Naye Ana alikuwa amekaa kuyaelekeza macho yake njiani hali akimtazamia mwanawe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Wakati huo huo, Ana alikuwa amekaa anachungulia barabarani, akitazamia kumwona mwanawe. Tazama sura |