Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nawe uichukue mkononi mwako nyongo ya samaki. Basi wakashika njia mbele, na yule mbwa akafuatana nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Usisahau kuchukua ile nyongo ya samaki.” Basi, Tobia na Rafaeli wakatangulia nyumbani, mbwa wa Tobia akiwafuata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Usisahau kuchukua ile nyongo ya samaki.” Basi, Tobia na Rafaeli wakatangulia nyumbani, mbwa wa Tobia akiwafuata. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nawe uichukue mkononi mwako nyongo ya samaki. Basi wakashika njia mbele, na yule mbwa akafuatana nao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Usisahau kuchukua ile nyongo ya samaki.” Basi, Tobia na Rafaeli wakatangulia nyumbani, mbwa wa Tobia akiwafuata. Tazama sura |