Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Akaja Akiakaro, pamoja na Nasba mwana wa nduguye; akafanywa karamu ya arusi yake Tobia siku saba kwa furaha kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ahika na Nadabu, binamu za Tobiti walikuja kufurahi pamoja na Tobiti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ahika na Nadabu, binamu za Tobiti walikuja kufurahi pamoja na Tobiti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Akaja Akiakaro, pamoja na Nasba mwana wa nduguye; akafanywa karamu ya harusi yake Tobia siku saba kwa furaha kuu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Ahika na Nadabu, binamu za Tobiti walikuja kufurahi pamoja na Tobiti. Tazama sura |