Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 11:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Naye Tobiti akashukuru mbele yao, kwa sababu Mungu amemrehemu, na alipomkaribia mkwewe Sara, alimbariki, akasema, Binti yangu, karibu kwetu. Amehimidiwa Mungu aliyekuleta kwetu, na baba yako na mama yako wamebarikiwa. Ikawa furaha kuu kwa ndugu zake zote waliokuwako Ninawi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Tobiti aliwaambia wote jinsi Mungu alivyomwonea huruma na kumwezesha kuona tena. Hatimaye Tobiti akakutana na Sara mke wa mwanawe, akamkaribisha: “Karibu binti yangu! Atukuzwe Mungu aliyekuleta kwetu binti yangu. Abarikiwe baba yako! Abarikiwe mwanangu Tobia na ubarikiwe wewe binti yangu! Ingia nyumbani kwako, karibu kwa furaha na baraka, binti yangu!” Siku hiyo ilikuwa siku ya furaha kubwa kwa Wayahudi wote wa Ninewi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

BIBLIA KISWAHILI

17 Naye Tobiti akashukuru mbele yao, kwa sababu Mungu amemrehemu, na alipomkaribia mkwewe Sara, alimbariki, akasema, Binti yangu, karibu kwetu. Amehimidiwa Mungu aliyekuleta kwetu, na baba yako na mama yako wamebarikiwa. Ikawa furaha kuu kwa ndugu zake wote waliokuwako Ninawi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

17 Tobiti aliwaambia wote jinsi Mungu alivyomwonea huruma na kumwezesha kuona tena. Hatimaye Tobiti akakutana na Sara mke wa mwanawe, akamkaribisha: “Karibu binti yangu! Atukuzwe Mungu aliyekuleta kwetu binti yangu. Abarikiwe baba yako! Abarikiwe mwanangu Tobia na ubarikiwe wewe binti yangu! Ingia nyumbani kwako, karibu kwa furaha na baraka, binti yangu!” Siku hiyo ilikuwa siku ya furaha kubwa kwa Wayahudi wote wa Ninewi.

Tazama sura Nakili

Tobiti 11:17
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo