Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 11:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Ndipo Tobiti alipotoka mara kwenda kumlaki mkwewe penye lango la Ninawi, akifurahi na kumhimidi Mungu; na wale waliomwona akienda wakastaajabu, kwa sababu amepewa kuona tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Basi, Tobiti kwa sifa za shangwe kwa Mungu alitoka kwenda kumlaki mke wa mwanawe kwenye lango la mji wa Ninewi. Watu wa Ninewi walipomwona Tobiti anatembea kwa nguvu kama zamani bila kuongozwa na mtu wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Basi, Tobiti kwa sifa za shangwe kwa Mungu alitoka kwenda kumlaki mke wa mwanawe kwenye lango la mji wa Ninewi. Watu wa Ninewi walipomwona Tobiti anatembea kwa nguvu kama zamani bila kuongozwa na mtu wakashangaa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Ndipo Tobiti alipotoka mara kwenda kumlaki mkwewe penye lango la Ninawi, akifurahi na kumhimidi Mungu; na wale waliomwona akienda wakastaajabu, kwa sababu amepewa kuona tena.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

16 Basi, Tobiti kwa sifa za shangwe kwa Mungu alitoka kwenda kumlaki mke wa mwanawe kwenye lango la mji wa Ninewi. Watu wa Ninewi walipomwona Tobiti anatembea kwa nguvu kama zamani bila kuongozwa na mtu wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Tobiti 11:16
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo