Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kwa maana umenirudi, ukanihurumia; lo-o-o! Namwona mwanangu Tobia. Naye mwanawe aliingia ndani, huku anafurahi, akamwambia baba yake habari za yale mambo makuu yaliyomtukia huko Umedi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yeye aliniletea mateso haya lakini sasa amenionea huruma, na naweza kumwona mwanangu Tobia!” Hapo Tobia akaingia nyumbani kwa furaha, akimsifu Mungu kwa sauti. Kisha akamwambia baba yake jinsi safari yake ilivyofanikiwa na kwamba, aliileta ile fedha, na jinsi alivyomwoa Sara, binti Ragueli, ambaye alikuwa anamfuata, karibu kufika Ninewi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yeye aliniletea mateso haya lakini sasa amenionea huruma, na naweza kumwona mwanangu Tobia!” Hapo Tobia akaingia nyumbani kwa furaha, akimsifu Mungu kwa sauti. Kisha akamwambia baba yake jinsi safari yake ilivyofanikiwa na kwamba, aliileta ile fedha, na jinsi alivyomwoa Sara, binti Ragueli, ambaye alikuwa anamfuata, karibu kufika Ninewi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Kwa maana umenirudi, ukanihurumia; lo-o-o! Namwona mwanangu Tobia. Naye mwanawe aliingia ndani, huku anafurahi, akamwambia baba yake habari za yale mambo makuu yaliyomtukia huko Umedi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Yeye aliniletea mateso haya lakini sasa amenionea huruma, na naweza kumwona mwanangu Tobia!” Hapo Tobia akaingia nyumbani kwa furaha, akimsifu Mungu kwa sauti. Kisha akamwambia baba yake jinsi safari yake ilivyofanikiwa na kwamba, aliileta ile fedha, na jinsi alivyomwoa Sara, binti Ragueli, ambaye alikuwa anamfuata, karibu kufika Ninewi. Tazama sura |