Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Akalia, akasema, Ee Mungu, umehimidiwa; na jina lako limehimidiwa milele; na watukuzwe malaika zako watakatifu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Basi, Tobiti akamkumbatia Tobia na kulia kwa furaha: “Ninakuona mwanangu! Wewe ni mwanga wa macho yangu!” Kisha akasema, “Atukuzwe Mungu! Litukuzwe jina lake milele! Watukuzwe malaika wake wote watakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Basi, Tobiti akamkumbatia Tobia na kulia kwa furaha: “Ninakuona mwanangu! Wewe ni mwanga wa macho yangu!” Kisha akasema, “Atukuzwe Mungu! Litukuzwe jina lake milele! Watukuzwe malaika wake wote watakatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Akalia, akasema, Ee Mungu, umehimidiwa; na jina lako limehimidiwa milele; na watukuzwe malaika zako watakatifu wote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Basi, Tobiti akamkumbatia Tobia na kulia kwa furaha: “Ninakuona mwanangu! Wewe ni mwanga wa macho yangu!” Kisha akasema, “Atukuzwe Mungu! Litukuzwe jina lake milele! Watukuzwe malaika wake wote watakatifu. Tazama sura |