Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Yeye macho yake yalipoanza kuwasha aliyafikicha; navyo vyamba vyeupe vikaambuka katika pembe za macho yake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kisha akamtia ile dawa machoni Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kisha akamtia ile dawa machoni Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Yeye macho yake yalipoanza kuwasha aliyafikicha; navyo vyamba vyeupe vikabanduka katika pembe za macho yake, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Kisha akamtia ile dawa machoni Tazama sura |