Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 akamtia nyongo machoni, akasema, Jipe moyo, baba yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Tobia akiwa na ile nyongo ya samaki mkononi, akamkimbilia baba yake. Alimpulizia baba yake machoni na kumtegemeza. Akamwambia, “Baba, jipe moyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Tobia akiwa na ile nyongo ya samaki mkononi, akamkimbilia baba yake. Alimpulizia baba yake machoni na kumtegemeza. Akamwambia, “Baba, jipe moyo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 akamtia nyongo machoni, akasema, Jipe moyo, baba yangu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Tobia akiwa na ile nyongo ya samaki mkononi, akamkimbilia baba yake. Alimpulizia baba yake machoni na kumtegemeza. Akamwambia, “Baba, jipe moyo.” Tazama sura |