Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 11:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Tobiti naye akaondoka kwenda mlangoni, akajikwaa; lakini mwanawe akamkimbilia, akamshika baba yake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Tobiti naye akasimama, akamwendea akijikwaakwaa akapita mlango wa ua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Tobiti naye akasimama, akamwendea akijikwaakwaa akapita mlango wa ua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Tobiti naye akaondoka kwenda mlangoni, akajikwaa; lakini mwanawe akamkimbilia, akamshika baba yake; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Tobiti naye akasimama, akamwendea akijikwaakwaa akapita mlango wa ua. Tazama sura |