Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Lakini mkwewe akamwambia, Afadhali ukae, nami nitatuma watu kwa baba yako; nao watampasha habari zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini Ragueli akamwambia Tobia, “Kaa kidogo, kaa nami, mwanangu. Nitawatuma wajumbe wampelekee habari zako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini Ragueli akamwambia Tobia, “Kaa kidogo, kaa nami, mwanangu. Nitawatuma wajumbe wampelekee habari zako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Lakini mkwewe akamwambia, Afadhali ukae, nami nitatuma watu kwa baba yako; nao watampasha habari zako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Lakini Ragueli akamwambia Tobia, “Kaa kidogo, kaa nami, mwanangu. Nitawatuma wajumbe wampelekee habari zako.” Tazama sura |