Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Tobiti akamwambia, Nyamaza, usifadhaike; yu mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Naye Tobiti akamwambia, “Tulia, dada, usihangaike. Hajambo; bila shaka kuna kitu kinachowachelewesha huko. Yule mwenzake ni mtu wa kuaminika tena ni jamaa yetu. Usife moyo mpenzi wangu; atarudi upesi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Naye Tobiti akamwambia, “Tulia, dada, usihangaike. Hajambo; bila shaka kuna kitu kinachowachelewesha huko. Yule mwenzake ni mtu wa kuaminika tena ni jamaa yetu. Usife moyo mpenzi wangu; atarudi upesi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Tobiti akamwambia, Nyamaza, usifadhaike; yu mzima. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Naye Tobiti akamwambia, “Tulia, dada, usihangaike. Hajambo; bila shaka kuna kitu kinachowachelewesha huko. Yule mwenzake ni mtu wa kuaminika tena ni jamaa yetu. Usife moyo mpenzi wangu; atarudi upesi.” Tazama sura |