Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini mkewe akamwambia, Mwanangu amekufa; tazama, alivyokawia. Akaanza kumwombolezea, akasema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Naye Ana, mkewe akawa anasema, “Mwanangu amekufa! Hayuko tena duniani!” Akaanza kulia na kumwombolezea mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Naye Ana, mkewe akawa anasema, “Mwanangu amekufa! Hayuko tena duniani!” Akaanza kulia na kumwombolezea mwanawe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Lakini mkewe akamwambia, Mwanangu amekufa; tazama, alivyokawia. Akaanza kumwombolezea, akasema. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Naye Ana, mkewe akawa anasema, “Mwanangu amekufa! Hayuko tena duniani!” Akaanza kulia na kumwombolezea mwanawe. Tazama sura |