Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Alisema, Je! Labda wamekawilishwa? Ama labda Gabaeli amekufa, wala hakuna mtu wa kumpa fedha? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Je, labda amecheleweshwa huko? Huenda Gabaeli alikwisha kufa na hakuna mtu wa kumpa mwanangu ile fedha!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Je, labda amecheleweshwa huko? Huenda Gabaeli alikwisha kufa na hakuna mtu wa kumpa mwanangu ile fedha!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Alisema, Je! Labda wamekawilishwa? Ama labda Gabaeli amekufa, wala hakuna mtu wa kumpa fedha? Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 “Je, labda amecheleweshwa huko? Huenda Gabaeli alikwisha kufa na hakuna mtu wa kumpa mwanangu ile fedha!” Tazama sura |