Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Baada ya hayo Tobia akaenda zake, hali akimhimidi Mungu kwa kuwa ameifanikisha safari yake. Akawabariki Ragueli na mkewe Edna. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Tobia aliondoka kwa Ragueli amejaa furaha, akimtukuza Mungu wa mbingu na dunia, Mfalme wa vyote, kwa kuifanikisha safari yake. Kisha aliwatakia Ragueli na mkewe Edna baraka akisema, “Furaha yangu na iwe kuwaheshimu nyinyi siku zote za maisha yangu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Tobia aliondoka kwa Ragueli amejaa furaha, akimtukuza Mungu wa mbingu na dunia, Mfalme wa vyote, kwa kuifanikisha safari yake. Kisha aliwatakia Ragueli na mkewe Edna baraka akisema, “Furaha yangu na iwe kuwaheshimu nyinyi siku zote za maisha yangu!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Baada ya hayo Tobia akaenda zake, hali akimhimidi Mungu kwa kuwa ameifanikisha safari yake. Akawabariki Ragueli na mkewe Edna. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Tobia aliondoka kwa Ragueli amejaa furaha, akimtukuza Mungu wa mbingu na dunia, Mfalme wa vyote, kwa kuifanikisha safari yake. Kisha aliwatakia Ragueli na mkewe Edna baraka akisema, “Furaha yangu na iwe kuwaheshimu nyinyi siku zote za maisha yangu!” Tazama sura |