Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Akawabariki, akawaruhusu, akasema, Wanangu, Mungu wa mbinguni akujalieni uheri kabla sijafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Basi, akawaacha waende kwa furaha halafu akamkumbatia Tobia na kumwaga akisema, “Kwa heri mwanangu. Safiri salama. Bwana Mungu wa mbinguni, akuongoze wewe na mkeo nami nijaliwe kuwaona watoto wenu kabla sijafa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Basi, akawaacha waende kwa furaha halafu akamkumbatia Tobia na kumwaga akisema, “Kwa heri mwanangu. Safiri salama. Bwana Mungu wa mbinguni, akuongoze wewe na mkeo nami nijaliwe kuwaona watoto wenu kabla sijafa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Akawabariki, akawaruhusu, akasema, Wanangu, Mungu wa mbinguni akujalieni uheri kabla sijafa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Basi, akawaacha waende kwa furaha halafu akamkumbatia Tobia na kumwaga akisema, “Kwa heri mwanangu. Safiri salama. Bwana Mungu wa mbinguni, akuongoze wewe na mkeo nami nijaliwe kuwaona watoto wenu kabla sijafa.” Tazama sura |