Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Kwa hiyo Ragueli akaondoka akampa mkewe Sara, na nusu ya mali zake, watumishi na ng'ombe na fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, Ragueli akamkabidhi Tobia mke wake yaani Sara, bila kukawia, akampa pia nusu ya mali yake yote: Watumwa wa kike na wa kiume, ng'ombe, kondoo, fedha na vyombo kadha wa kadha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, Ragueli akamkabidhi Tobia mke wake yaani Sara, bila kukawia, akampa pia nusu ya mali yake yote: watumwa wa kike na wa kiume, ng'ombe, kondoo, fedha na vyombo kadha wa kadha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kwa hiyo Ragueli akaondoka akampa mkewe Sara, na nusu ya mali zake, watumishi na ng'ombe na fedha. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Basi, Ragueli akamkabidhi Tobia mke wake yaani Sara, bila kukawia, akampa pia nusu ya mali yake yote: Watumwa wa kike na wa kiume, ng'ombe, kondoo, fedha na vyombo kadha wa kadha. Tazama sura |