Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 10:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Huko nyuma kila siku baba yake Tobiti alikuwa akizihesabu siku; na siku za safari zilipotimia, wala hawajaja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Huko nyuma, kila siku Tobiti alikuwa akihesabu siku zilizohitajiwa kwenda Rage na kurudi. Siku hizo zikapita na mwanawe Tobia akawa bado hajarudi. Basi, Tobiti akafikiri: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Huko nyuma, kila siku Tobiti alikuwa akihesabu siku zilizohitajiwa kwenda Rage na kurudi. Siku hizo zikapita na mwanawe Tobia akawa bado hajarudi. Basi, Tobiti akafikiri: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Huko nyuma kila siku baba yake Tobiti alikuwa akizihesabu siku; na siku za safari zilipotimia, wala hawajaja. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Huko nyuma, kila siku Tobiti alikuwa akihesabu siku zilizohitajiwa kwenda Rage na kurudi. Siku hizo zikapita na mwanawe Tobia akawa bado hajarudi. Basi, Tobiti akafikiri: Tazama sura |