Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Hata nilipopata kuwa mtu mzima nilimwoa Ana, aliyekuwa wa jamaa yetu; naye akanizalia Tobia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mara nilipokuwa mtu mzima nilimwoa Ana, mwanamke wa kabila langu. Tulijaliwa mtoto tukamwita Tobia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mara nilipokuwa mtu mzima nilimwoa Ana, mwanamke wa kabila langu. Tulijaliwa mtoto tukamwita Tobia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Hata nilipopata kuwa mtu mzima nilimwoa Ana, aliyekuwa wa jamaa yetu; naye akanizalia Tobia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Mara nilipokuwa mtu mzima nilimwoa Ana, mwanamke wa kabila langu. Tulijaliwa mtoto tukamwita Tobia. Tazama sura |