Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 na zaka ya pili niliuza, nikaenda na kuitumia Yerusalemu kila mwaka; na ya tatu niliwapa watu waliohusika nayo; kama alivyoniagiza Debora, mama wa baba yangu. Yaani, niliachwa yatima na baba yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Sehemu ya tatu ya zaka niliwapa yatima, wajane na wageni walioishi miongoni mwa watu wa Israeli; niliwapelekea kama zawadi kila miaka mitatu. Tulipokula chakula tulifanya kulingana na Sheria ya Mose na mawaidha ya Debora mama wa babu yangu Ananieli. Baba yangu alikuwa amekufa akaniacha yatima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Sehemu ya tatu ya zaka niliwapa yatima, wajane na wageni walioishi miongoni mwa watu wa Israeli; niliwapelekea kama zawadi kila miaka mitatu. Tulipokula chakula tulifanya kulingana na Sheria ya Mose na mawaidha ya Debora mama wa babu yangu Ananieli. Baba yangu alikuwa amekufa akaniacha yatima.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 na zaka ya pili niliuza, nikaenda na kuitumia Yerusalemu kila mwaka; na ya tatu niliwapa watu waliohusika nayo; kama alivyoniagiza Debora, mama wa baba yangu. Yaani, niliachwa yatima na baba yangu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

8 Sehemu ya tatu ya zaka niliwapa yatima, wajane na wageni walioishi miongoni mwa watu wa Israeli; niliwapelekea kama zawadi kila miaka mitatu. Tulipokula chakula tulifanya kulingana na Sheria ya Mose na mawaidha ya Debora mama wa babu yangu Ananieli. Baba yangu alikuwa amekufa akaniacha yatima.

Tazama sura Nakili

Tobiti 1:8
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo