Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 nikawapa makuhani, wana wa Haruni, huko madhabahuni. Zaka ya mazao yangu yote niliwapa wana wa Lawi, waliohudumu huko Yerusalemu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Vitu hivi niliwapa makuhani, wazawa wa Aroni, kwa ajili ya madhabahu. Niliwapa Walawi waliohudumu huko Yerusalemu zaka yangu ya divai, ngano, zeituni, makomamanga na matunda mengine. Kwa miaka sita mfululizo nilichukua fedha ya zaka na kuilipa huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Vitu hivi niliwapa makuhani, wazawa wa Aroni, kwa ajili ya madhabahu. Niliwapa Walawi waliohudumu huko Yerusalemu zaka yangu ya divai, ngano, zeituni, makomamanga na matunda mengine. Kwa miaka sita mfululizo nilichukua fedha ya zaka na kuilipa huko Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 nikawapa makuhani, wana wa Haruni, huko madhabahuni. Zaka ya mazao yangu yote niliwapa wana wa Lawi, waliohudumu huko Yerusalemu; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Vitu hivi niliwapa makuhani, wazawa wa Aroni, kwa ajili ya madhabahu. Niliwapa Walawi waliohudumu huko Yerusalemu zaka yangu ya divai, ngano, zeituni, makomamanga na matunda mengine. Kwa miaka sita mfululizo nilichukua fedha ya zaka na kuilipa huko Yerusalemu. Tazama sura |