Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 1:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Bali mimi desturi yangu huenda peke yangu mara nyingi mpaka Yerusalemu wakati wa sikukuu, kama walivyoamriwa Waisraeli wote kuwa agizo la milele. Huchukua malimbuko, na zaka za mazao yangu, na manyoya ya kwanza ya kondoo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Katika jamaa yangu ni mimi peke yangu niliyekwenda kuabudu mara kwa mara huko Yerusalemu kutekeleza sheria inayowabana watu wote wa Israeli milele. Niliharakisha kwenda Yerusalemu na sehemu ya mazao ya kwanza ya mavuno na wanyama, zaka za mifugo na manyoya ya kwanza ya kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Katika jamaa yangu ni mimi peke yangu niliyekwenda kuabudu mara kwa mara huko Yerusalemu kutekeleza sheria inayowabana watu wote wa Israeli milele. Niliharakisha kwenda Yerusalemu na sehemu ya mazao ya kwanza ya mavuno na wanyama, zaka za mifugo na manyoya ya kwanza ya kondoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Bali mimi desturi yangu huenda peke yangu mara nyingi mpaka Yerusalemu wakati wa sikukuu, kama walivyoamriwa Waisraeli wote kuwa agizo la milele. Huchukua malimbuko, na zaka za mazao yangu, na manyoya ya kwanza ya kondoo, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Katika jamaa yangu ni mimi peke yangu niliyekwenda kuabudu mara kwa mara huko Yerusalemu kutekeleza sheria inayowabana watu wote wa Israeli milele. Niliharakisha kwenda Yerusalemu na sehemu ya mazao ya kwanza ya mavuno na wanyama, zaka za mifugo na manyoya ya kwanza ya kondoo. Tazama sura |